MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

huyu bwana anakosea kabisa!na anakiuka miiko ya utumishi wa umma
kama amepewa maagizo kutoka juu anatakiwa atekeleze ,kama anaona kitamtia hatiani akwepe sio kukataa kutamletea matatizo makubwa,maamuzi mengine huwa ya nakuwa kwa maslahii ya nchi si vizuri kuanza kuyatilia shaka
pia huyo bwana anatoa siri za ofisi kwa watu wanjee sio jambo jema kwa mtumishi wa umma aliyekula kiapo cha utii kwa serikali iliyopo madarakani
ivi wewe mzima kweli? mtu anataka kukuua utamkubalia eti kwa sababu umekula kiapo? kumbe na nyie mnachangia kuiua nchi yetu eeeh??!!!
 
Mmeamini? Mteja wangu ameachwa kazini. Na kwasasa ameokoka.
 
Back
Top Bottom