Matokeo formSix mwaka huu tutegemee nini??????

Matokeo formSix mwaka huu tutegemee nini??????

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Jana katika malumbano ya hoja ITV nilidaka Point kuwa,japo form6 wamefanya mitihani yao ila mtaala ulibadilishwa na walimu hawakua na semina,je matokeo yakiwa kama form4,TCU Watapata wapi wadahiliwa,au mambo ya East Africa Community.
 
884357_221213048018965_818651568_o.jpg
 
Form6mtu akipiga4aweza pata College??
 
Back
Top Bottom