Matokeo Gor 1: Everton 1 mubashara

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rooney amefanya yake, kafunga moja tayari na imejibiwa tuendelee kutumaini jameni maana duh. Naitazama mubashara kwenye EATV.
Japo Gor wamepoteza nafasi nyingi sana aisei, hadi wananipa pressure hawa.

Update:
Dakika zote 90
Gor 1 : Everton 2

Safi sana Gor Mahia, mumekaba penyewe lakini ndio hivyo...
 
Gor mahia wanaweza

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Naona showers za kutoka National Stadium

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Rooney amefanya yake, kafunga moja tayari na imejibiwa tuendelee kutumaini jameni maana duh. Naitazama mubashara kwenye EATV.
Japo Gor wamepoteza nafasi nyingi sana aisei, hadi wananipa pressure hawa.
Nimejifunza kitu leo.....
 
Huu ndio uwanja standard East Africa.
Kenya IAAF kumedoda

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Halafu naskia Everton wamekuja na nyasi yao....
 
Hahahaha
Naona haamini kama ile pitch iko Tanzania mazee

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kipa wanamtungua nje ya 18m hahaha naona nyingine imegonga mwamba

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Gor Mahia wamejitahidi sana, hawajatuangusha kivile, everton wanashinda ila sio a walk in the park, they ran for their money!
Proffesionalism beat us!! Nimejikuta naishabikia Gor Mahia, uzalendo ni shida, mimi ni Mtz ila East African pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…