Sikua na upande wa kushabikia maana timu Yangu ya Yanga ilitolewa....Nilitaka nione mpira wa Everton wakicheza na Gormahia Game litakuaje....Nilichojifunza ni hizi timu zetu zikicheza zenyewe kwa wenyewe mpira ni mbovu and not attractive lakin Jana Gormahia wali play very nice game nadhani Everton hawakuamini tatizo Gormahia second a half sijui waliingiza wachezaji gani wakaanza kuwashangaa wazungu...But all in all professionalism matters kwan tuliona tofauti sana....Congrats kwa [HASHTAG]#Sprotpesa[/HASHTAG] kwa kukuza game letu East Africa na much respect kwa Gormahia walicheza mpira mzuri sana ila tukija kwenye nation teams zetu yani mipira yao haifai ata Ku watch ovyoooo