Matokeo Gor 1: Everton 1 mubashara

Matokeo Gor 1: Everton 1 mubashara

Mtu kama huyu alionekana popote hapo uwanjani?

soccerjuju1.jpg
Hahahaha, no comment ( for once acha niweke ujirani mwema)
 
haya basi serikali itakayofuata ijenge stadium maridadi na ya kisasa...si stadium za kuaibisha hapa...stadium za 1980...duh!
Point muhimu.

Tanzania is excelling, soon Dodoma will have a modern stadium than this one

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Sikua na upande wa kushabikia maana timu Yangu ya Yanga ilitolewa....Nilitaka nione mpira wa Everton wakicheza na Gormahia Game litakuaje....Nilichojifunza ni hizi timu zetu zikicheza zenyewe kwa wenyewe mpira ni mbovu and not attractive lakin Jana Gormahia wali play very nice game nadhani Everton hawakuamini tatizo Gormahia second a half sijui waliingiza wachezaji gani wakaanza kuwashangaa wazungu...But all in all professionalism matters kwan tuliona tofauti sana....Congrats kwa [HASHTAG]#Sprotpesa[/HASHTAG] kwa kukuza game letu East Africa na much respect kwa Gormahia walicheza mpira mzuri sana ila tukija kwenye nation teams zetu yani mipira yao haifai ata Ku watch ovyoooo
 
Back
Top Bottom