Matokeo Gor 1: Everton 1 mubashara

Matokeo Gor 1: Everton 1 mubashara

Wakenya mnasifa nyie...mlitaka kuwafunga Everton tena kwetu...bora mnewafungia kasarani. ...nadhan mnajitahidi sana iyo team yenu ilideserve kufika final

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mimi nlikuwa naangalia Burudani tu, hayo magoli meant Nothing,
thanks kwa Hii burudani ya Leo. Hii mechi imenikosha sana, ilikuwa ni mechi poa sana, nadhani next time hawa wazungu wakirudi huu ukanda watajihami zaidi.
 
nawashukuru sportpesa kwa kuwezesha haya yote....next time watanzania wakiwakilisha ichezewe kenya hiyo mechi.naona ingekua ubinafsi gor iwakilishe then mechi ichezewe kenya vilevile
 
Leo imidhihirisha EA chezo huu unapendwa zaidi Tanzania
na Mashabiki wapenzi wapo Tanzania
Safi sana
 
DEg8g8EXcAAq4q-.jpg
 
hongera Gor Mahia...mechi ya kusisimua kwel kwel...EA tunapaa...
True, sikutegemea kama gor mahia watatoa upinzani wa namna ile! Hakika walistahili kucheza match hii!



A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Lakini next year juu sportpesa itachezwa Kenya Gor itanyandua hawa wazungu

sent from iPhone 7
Next year wakat sportpesa wanataka kuhamisha ofisi kuja tz wataletaje tim Kenya

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mtu kama huyu alionekana popote hapo uwanjani?

soccerjuju1.jpg
Hizo nguo ukizipanga vyema unapata bendera ya Kenya

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Back
Top Bottom