Matokeo halisi kwa Yanga yanaanza kudhihirika

Matokeo wanayopata Yanga kwa Sasa Ni matokeo halisi ya mpira kwasababu kwa hapa ligi ilipofikia bahasha hazifanyi kazi tena.

Kil timu ukiondoa mbili au nne za juu yeyote anaweza kushuka daraja , hivyo kila timu inapambana kujinasua na hilo balaa. Mipango ya nje ya uwanja haina nafasi.

Kilichobaki ni kusingizia uchawi kwa sasa.

Mashabiki wa Yanga walishajiaminisha kwamba wao lazima kushinda mechi, kwasabab wao ni bora sana. Na hata wachezaji wanaingia uwanjani na mentality hiyo. Yanga itakuwa ktk presha kubwa kwa mechi zijazo kwa sababu pia walishajiaminisha wao tayari ni mabingwa msimu huu.

Timu zitakazokutana na Yanga pia zimeshajifunza kuwa kumbe inawezekana kuizuia Yanga isifunge na inawezekana.

Kuna wale wanaomlaumu Cedric Kaze, lakini hata mechi ya jana na Prison Nabi alikuwepo na timu imedroo.

Mashabiki wanasahau kuwa ikiwa timu inatengeneza nafasi na washambuliaji hawafungi basi Hilo Ni tatizo la wachezaji na si kocha.Kama nafasi zinakuwepo na wachezaji hawafungi mnataka kocha aingie akacheze?

Ni mtazamo wangu, hebu tusubiri tuone itakuwaje. Muda utaamua.

BTW kila mtu ashinde mechi zake. Huu ndiyo mpira.
Zimebaki mechi ngapi kwa ligi kumalizika?
 
Hivi Morrison na chama wapo wapi?
 
Viporo gani vya Simba? SIMBA haina presha. Tatizo la Yanga Ni mashabiki na wachezaji kujijaza upepo kwamba tayari Ni mabingwa ndiyo chanzo cha hii taharuki.

Kujiaminisha kwamba nyie lazima mshinde as if kwamba mko so spesho sana.Mpira hauko hivyo.

Simba alidroo lkn haikuwa habari ya mjini.

Simba pia tunajua hatuwezi kuchukua ubingwa sisi tu kila mwaka, lazima na wengine watachukua. Ndiyo mpira ulivyo.
Ndio muache kelele subirini kila mtu acheze mechi zake then tuje tuone nani bingwa
 
Kuna Mechi Tatu Simba Atakalia Tena Kidude Au Ataomba Yeye Sare Naziorodhesha Hapa.

Vs Geita Gold
Vs Prisons
Vs Mbeya City
 
Kuongoza league ndo nn simba alikuwa na mashindano mengi ndio maana alikuwa anasua sua.

Mbona WYDAY CASABLANCA wameshiriki mashindano mengi na bado wana ongoza ligi?

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom