Elections 2010 Matokeo kadhaa tuloyapata hivi punde

Elections 2010 Matokeo kadhaa tuloyapata hivi punde

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
matokeo_haya.jpg

matokeo_haya2.jpg
 
Thanks Invisible!!! CUF nao naona wanakimbiza Mwenge Tanga!!! Na kuna dalili wakafanya vizuri sana kusini pia; Lindi na Mtwara!!
 
Mkuu nikiangalia hiyo ya Isyesye Mbeya, CHADEMA imeua 9985 kwa 723, huko JK hatakiwi hta kutia mguu!
 
Were weraaaa.......................mabadilkooooo yajaaaaa...
 
mbona sipati kitu wandugu nishangilie USHINDI WETU JAMANI CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Yaani tunawaombea CUF wabinye CCM mikoa ya kusini na sisi tuwamalizie sehemu nyingine zizilizobaki...............
 
Mheshimiwa invisible mmenidisable nisiweze kupata habari mpya? au hili tatizo linawapata wote?
 
Yaani leo na wiki hii yote traffic ya hapa JF itakuwa balaa

There are currently 10545 users online. 1296 members and 9249 guests
Most users ever online was 10,545, Today at 12:40 PM.
 
habari njema kwetu sisi wapenda mabadiliko
 
Mheshimiwa invisible mmenidisable nisiweze kupata habari mpya? au hili tatizo linawapata wote?

Yaani leo na wiki hii yote traffic ya hapa JF itakuwa balaa

There are currently 10545 users online. 1296 members and 9249 guests
Most users ever online was 10,545, Today at 12:40 PM.
Sokomoko,

Ukiangalia alichoandika Invincible hapo juu ndicho kimepelekea kufanya hivyo; that was server intensive!
 
Jakaya aliwachukia watu wa Mbeya kwavile Mwandosya alichuana nae kwenye kura za maoni za kugombea Urais mwaka 2005; toka hapo aliwakalia mguu kauka watu kutoka huko hasa wanyakyusa ikawa wasipate nafasi za uongozi na vyeo kwenye serikali yake; akamteua kibaraka aliyeshindwa ubunge Kyela kuwa mkuu wa mkoa ili awathibiti hao aliodhani ni wapinzani wake, lakini mtu wake mpaka sasa hajafanikiwa kukamilisha yale aliyotumwa!! Kwavile wameumizwa na huyu mkwere miaka mitano iliyopita hawaoni sababu ya kujipendekeza kwa huyu bwana hata kama ataiba kura na kutawala miaka mingine mitano; wakotayari hata kuhamia Malawi mpaka huyu jamaa atakapoondoka!! Habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom