Matokeo kidato cha 4, 2013; masomo ya BRN yameongoza kwa kufanya vizuri..(...)...

Matokeo kidato cha 4, 2013; masomo ya BRN yameongoza kwa kufanya vizuri..(...)...

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2013 yanaoshesha kuwa, masomo yaliyo kwenye mpango wa Big Result Now(BRN) Yaani: kiswahili, english, biology na mathematics yameongoza kwa kufanya vizuri ukilinganisha na miaka iliyotangulia kabla ya uwepo wa huo mpango hasa mathematics na english. Je kuna kahuruma kalifanyika au ni ndo mafanikio ya BRN?
 
kuna baadhi wa watahiniwawamepata point 44,45 na 46 wamepewa div iv na baadhi wamepata point hizo hizo wamepewa div o,hebu nisaidie vigezo vilivyotumika
 
kuna baadhi wa watahiniwawamepata point 44,45 na 46 wamepewa ACHA WIVU WA KE UMEPOTEZA NINI?

we ndo uache ungese,ninachoongea nina uhakika nacho,so nimeuliza wamegawa hizi grade kwa mfumo gani?mfano;angalia kibasila secondary school namba yake ya usajili ni s0316,mtahiniwa mwenye namba s0316/0046 amepata point 43 ana division 0,lakini mtahiniwa mwenye namba s0316/0048 amepata point hizo hizo 43 ana div iv.mmtahiniwa mwenye namba s0316/0060 ana iv ya 43 lakini mwenye namba s0316/0064 ana 0 ya 43?sasa huo wivu wa kike nikufanyie wewe kwa misingi ipi?haya ndo matatizo ya kutumia ma------ kufikiri.(@*&&%^%^$^@&*&@& type kabisa wewe
 
Back
Top Bottom