Jericho Jr.
Member
- Jan 8, 2012
- 75
- 6
jamani naomba kuuliza matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatangazwa lini naomba msaada wenu wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh! Hii nayo kubwa!!leo usiku sikiliza majira rtd
Bado kipo hiki kipindi?leo usiku sikiliza majira RTD
jamani naomba kuuliza matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatangazwa lini naomba msaada wenu wakubwa
kwani hiiyo redio bado ipooo??leo usiku sikiliza majira RTD
sawa mkuuVuta subira, tafuta kazi ya kufanya hata kama kuuza mbogamboga mtaani kwako, itakuweka busy huku ukitafuta ada ya kuanza nayo f.v
mbona imekua mieziiiibado ka wiki mbili tu*
sawa mkuuleo usiku sikiliza majira RTD
Baada ya kutoka matokeo ambayo mlikuwa mnayauliza,jf mbona kimya?
Hahahahahaha!haya sasa 2likuwa 2nayalilia matokeo c haya hapa sasa yameshatoka?mbona mpo kmya? NECTA IMETUUMBUA.