Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

Yap! Kaka ni kumwomba Mungu tu

Ni kweli yan kila kitu kinawezekana mbel yake afu vip wamesema itakua siku gani au??? then ikisemwa naomba tupeane taarifa mkuu maan si wengi tupo mbali sana na TV.........
 
Watoe na certificate mbili, ya pili iandikwe refined certificate, wakija a level tuwatambue.
 
Hayaaaaaa...................!!!! Penati!!!!! Form IV 2012 wanapata penati nyingine baada ya kuikosa ya kwanza, sijui itakuwaje hapa, dakika nazo zinayoyoma! wa mbagala, yaleyale puna, msakuzi, goba naona haoooooo... wanaondoka....... sikiliza penati hiyo jamani..........!!
 
Mi nadhani wamemuongezea kila mtahiniwa marks 20......hainiingii akilini mtihani mwanzo matokeo yalitoka baada ya miezi mi3 lkn kwa ss ni chini ya wiki3.....!!wanataka kutoa matokeo.
 
eeeeeh kaazi kwelikweli, okay! tusubiri one na two za kutosha chezea serikal wewe.
 
Mi nadhani wamemuongezea kila mtahiniwa marks 20......hainiingii akilini mtihani mwanzo matokeo yalitoka baada ya miezi mi3 lkn kwa ss ni chini ya wiki3.....!!wanataka kutoa matokeo.

Mkuu hizo kazi za wenyewe ngoja tuwaskilizie
 
daa!hata aliyepata zero akigonga one tusishangae!
 
For whose benefit. .regrading. .!! Huko vyuoni balaa..!!
 
Tanzania kila kitu kinawezekana, hadi kumaliza elimu ya msingi bila kujua kusoma na kuandika na bado ukafaulu nalo linawezekana.
 
eeeeeh kaazi kwelikweli, okay! tusubiri one na two za kutosha chezea serikal wewe.

Kwa sisi watoto wetu waliopata one na two toka shule za seminary na S.t... Kama ulisoma shule ya ukata subiri 33 pts au ubuyu. Hata kama wametumia grade za zamani kwa watoto wa shule za ukata na zile za jumuiya ya wazazi usitegemee kitu huko, Kwani huko kuna "elimu"?.
 

Hahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…