Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

Tuache ushabki wala nini,zamani wanafunz tulikua tunasoma kimtindo tofaut na sasahv madogo wamekua vilaza mno,nakumbuka 4mII nilipata wastan wa 59 kwendaIII. 4m4,nkatabiliwa kufaulu na kwel 4m4 nkachomoka,lakn sasahv 4mII hakuna mtihan ndo mana madogo hawaogop,ila kboko yao 4m4.

zamani watu walikuwa wanasoma sana kwasababu kwanza ukiona mwanafunzi yupo sekondari basi huyo alikuwa kipanga kweli nikiwa ninamaana ili upelekwe sekondari basi kichwani ulikuwa unachemka, vilaza wengi walikuwa hawasomi tofauti na sasa shule ni nyingi hadi vilaza wanafaulu

sababu ni nyingi sana mazingira, walimu wenyewe na mambo chungumzima ndiyo yaliyokuwa yakipelekea wanafunzi wa enzi hizo kufaulu sana
 
Back
Top Bottom