Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

watoe na certificate mbili, ya pili iandikwe refined certificate, wakija a level tuwatambue.
watanyanyapaliwa hawa watoto spati picha,
bora wafunguliwe shule ya kwao peke yao wasikutane na wanafunzi wengine
 
watanyanyapaliwa hawa watoto spati picha,
bora wafunguliwe shule ya kwao peke yao wasikutane na wanafunzi wengine

Wanyanyapaliwe na nani na kwa misngi ipi? Yani nyie msome Alevel kwa C ya 41 alafu mnalazimisha wenzenu wa some Alevel kwa C ya 50! Nyie mna akili au matope na viroba tu yamewajaa kichwani?

Acheni madogo wapate haki zao kazi wivu tu na majungu. ebooooo!!!
 

Safi sana mkuu ume nena
 
Yani nyie msome Alevel kwa C ya 41 alafu mnalazimisha wenzenu wa some Alevel kwa C ya 50! Nyie mna akili au matope na viroba tu yamewajaa kichwani? wivu tu na majungu. ebooooo!!!
natania tu mkubwa pole,
sikujua kuwa ni mdau
sirudii,
pole.
 
Mi nadhani wamemuongezea kila mtahiniwa marks 20......hainiingii akilini mtihani mwanzo matokeo yalitoka baada ya miezi mi3 lkn kwa ss ni chini ya wiki3.....!!wanataka kutoa matokeo.

ila kazi kwelikweli but huenda kwa vile wanaupgrade kwa standardization tu ndomana imechukua mda mfupi then nimesikia changes nyingi zitakua kwa walio pata zero na four sasa kutaka na haki kweli apo.??
 
Waseme pia utaratibu wa kurejesha zile hela watoto wamelipia kwa kurudia mitihani. Na wale waliopoteza maisha sijui itakuwaje!!! Ingekuwa nchi za wenzetu wangefungua kesi babu kubwa hapa maana serikali ingelipa fidia kwa wale waliokufa au kupata madhara na matokeo yale. Ila Tanzania hakika kila kitu ni holela tu!!
 
natania tu mkubwa pole,
sikujua kuwa ni mdau
sirudii,
pole.

Mkuu tatizo watu mnakuwa vigeugeu sana badili nguvu zetu zote tuwashinikize wakina Mlugo na Kawambwa waachie ngazi ila nyie mnageuza kibao kwa watu ambao hawahusiki kabisa kitu ambacho fair.
 

Fedha za rufaa ni non refundable. Hazirudishwi. Hao 20,000 walio appeeal wameshalizwa. Hii ndo bongoland.
 

dogo lako lilibugi nini!according to necta tangu 1973 hakuna D ya 21 D inaanziaga 30 hivyo hata C huwa inachange so madogo bado watazingua tu!SAMAHANI LAKINI
 

wachome vilaza haooo! kwanza walipata c 3 za point 41 zilizo wapa 3 ya point 25 ndo wakaenda a level afu wanajiona ni wakali!!!!! ha! ha! ha! haaaaaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…