Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

Tuache ushabki wala nini,zamani wanafunz tulikua tunasoma kimtindo tofaut na sasahv madogo wamekua vilaza mno,nakumbuka 4mII nilipata wastan wa 59 kwendaIII. 4m4,nkatabiliwa kufaulu na kwel 4m4 nkachomoka,lakn sasahv 4mII hakuna mtihan ndo mana madogo hawaogop,ila kboko yao 4m4.
 

Form 2 wasio na mitihani ni wa nchi gani? Somalia?, Burundi?, South Sudan?. Au wapi?. Kama ulimaanisha Tanzania, umekosea sana. Si mtihani bali kuna mchujo mkali, unaowa-discipline watoto ambao hawakuandaliwa vizuri. Kumbe we umewasahau Watoto wa Dar, Mtwara na Lindi ambao ndiyo walifeli kwa wingi kuliko mikoa mingine kwenye Jamhuri hii ya Kambarage(rip)!.
 

Form 2 wasio na mitihani ni wa nchi gani? Somalia?, Burundi?, South Sudan?. Au wapi?. Kama ulimaanisha Tanzania, umekosea sana. Si mtihani bali kuna mchujo mkali(japo ni wastani wa 30% tu), unaowa-discipline watoto ambao hawakuandaliwa vizuri. Kumbe we umewasahau Watoto wa Dar, Mtwara na Lindi ambao ndiyo walifaulu(kinyume chake) kwa wingi kuliko mikoa mingine kwenye Jamhuri yetu ya Kambarage(rip)!.
 
Me yangu macho nasubir kuona bila kuhadithiwa, matokeo yakitoka waliofaulu ni 89%
 
Fedha za rufaa ni non refundable. Hazirudishwi. Hao 20,000 walio appeeal wameshalizwa. Hii ndo bongoland.

Kwa kuwa ni uzembe wao inabidi warejeshe mkuu wangu. Vinginevyo watakuwa labelled wezi.
 
Kwa kuwa ni uzembe wao inabidi warejeshe mkuu wangu. Vinginevyo watakuwa labelled wezi.
Mkuu, hawawezi kurudishiwa hizo fedha kutokana na sheria, kanuni na taratibu za NECTA. Labda wa appeal tena kwa "new grades" zilizotangazwa kama hawataridhishwa na matokeo yatakayotangazwa muda wowote, sema watapaswa kulipia gharama yaa rufaa upya NECTA. Watafanyaje wameshakuwa "wateja" wa hilo "baraza" ?.
 
Mkuu Dr.Ntinkutina, hapa niliwalenga wale ambao matokeo yalikuwa ni mabaya na wakalazimika kujiandikisha kama private candidate wana riseat na siyo wale walio appeal mitihani kupitiwa upya. Hakika gharama walizolipa zilitumika kupitia mitihani yao. Hapa nasemea wale private candidate wamelipa wengine 36,500 na kwa penalty kwa 56,500 ila hawajafanya mtihani wa marudio na hela haijatumika kwa lolote mkuu wangu.
 
Mwaka 1992/3 Matokeo ya Kidato cha pili yalikuwa mabaya wakasema hata mwenye wastani wa 14 awe amefaulu wanafunzi wale tuliwaita asante Mwinyi mpaka tunapomaliza 1995 form Four. Na hao wenye kusubiri kufauru kwa staili hii wataitwaje na sio Asante CCM kweli?? Form Four tuambieni.
 
watanyanyapaliwa hawa watoto spati picha,
bora wafunguliwe shule ya kwao peke yao wasikutane na wanafunzi wengine

hanyanyapaliwi mtu hapa ila watakao pitishwa cha moto form 6
 

Warudishe hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…