WILLY MTAFYA
Member
- Sep 15, 2013
- 12
- 1
Mwalmu Benign Boniface was kigoma sekondary anatafuta mwalimu was iringa , njombe , na mbeya kubadirishana naye.
0755397178
O753124642
0755397178
O753124642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbaaaa
Unakurupuka eh? Umeona neno "New" na "2014" ukaja huku mbioooo.........
We ni unachezea akili za watu sio? Unazani wote tupo kama wewe, kaoge kwanza ndo uje jamvini, bullshit.
Pumbaaaaaaaaaa:what::what::what::what::what::what:
wizi mtupu
Wote nimewasamehe bure!Kwanza anatakiwa kuwa banned
Na mchele umeuona? naona umetulia bila shaka umepata matokeo yako, poleePumbaaaa
HILO NENO LITAKUWA LIMEANDIKWA KWENYE DAFTARI LAKO LA SHULE, Sikulaumu ni tatizo la jina lako Junior...Unakurupuka eh? Umeona neno "New" na "2014" ukaja huku mbioooo.........
Punguza matusi kijana hiii sio sehemu ya kutukanana. Ukitaka kutukana nitafute unitukane "LIVE" ili ufurahi zaidi. Aliyechezea akili zako ni wewe mwenyewe kukataa kitu ambacho kipo kweli, ulifikiria nini badala ya kusoma wewe unacheza mitaani. Wakustahili kuoga ni wewe ulitoka mapovu na majasho ya uoga kwapani kwa kitu cha kweli.We ni unachezea akili za watu sio? Unazani wote tupo kama wewe, kaoge kwanza ndo uje jamvini, bullshit.
UNATAKA WAFUTE ILI BABA YAKO ASIONE MATOKEO YAKO AU SIYO? POLE NDIYO HIVYO YAMETANGAZWA
Na mchele si umeuona tayari?? Au bado hujapepeta?Pumbaaaaaaaaaa:what::what::what::what::what::what:
Wizi wa mitihani ungekuwepo kama zamani wangefaulu wote?wizi mtupu
Mbona umekasirika sana au umefeli? Mlaumu mwalimu wako kwa kukufelisha, mara nyingi wenye akili darasani n waliofaulu huwa wanaadabu kwa wakubwa zao na wako kimyaaa.Kwanza anatakiwa kuwa banned
Hahahaaaaaaa.... mtoto kumuita mtu mzima dogo. Kwa msaada zaidi soma "signature" yangu.wewe inaonekana ni mgeni huku jf...habari za uzushi na uongo ishia nazo hukohuko fb
pitia humu..NAOMBA KUELEKEZWA MUHUNDO MPYA WA VIWANGO VYA UFAHULU (YAANA MADARAJa)
Si unajua tena Dokta mwenyewe yupo safarini unajuaje labda ametuachia mikoba.ina maana iyo website imefunguka kwako tu....duh! Labda necta yako iyo mkuu
Na mchele umeuona? naona umetulia bila shaka umepata matokeo yako, polee
HILO NENO LITAKUWA LIMEANDIKWA KWENYE DAFTARI LAKO LA SHULE, Sikulaumu ni tatizo la jina lako Junior...
Punguza matusi kijana hiii sio sehemu ya kutukanana. Ukitaka kutukana nitafute unitukane "LIVE" ili ufurahi zaidi. Aliyechezea akili zako ni wewe mwenyewe kukataa kitu ambacho kipo kweli, ulifikiria nini badala ya kusoma wewe unacheza mitaani. Wakustahili kuoga ni wewe ulitoka mapovu na majasho ya uoga kwapani kwa kitu cha kweli.
UNATAKA WAFUTE ILI BABA YAKO ASIONE MATOKEO YAKO AU SIYO? POLE NDIYO HIVYO YAMETANGAZWA
Na mchele si umeuona tayari?? Au bado hujapepeta?
Wizi wa mitihani ungekuwepo kama zamani wangefaulu wote?
Mbona umekasirika sana au umefeli? Mlaumu mwalimu wako kwa kukufelisha, mara nyingi wenye akili darasani n waliofaulu huwa wanaadabu kwa wakubwa zao na wako kimyaaa.
Hahahaaaaaaa.... mtoto kumuita mtu mzima dogo. Kwa msaada zaidi soma "signature" yangu.
wizi mtupu
Akili ya kiutu uzima ingetafakari kabla ya kukurupuka kuandika upuuzi ule. Hata mtoto mdogo anajua matokeo ya kidato cha nne 2013 yametoka wewe unabisha, una utu uzima gani wewe???hivi we dogo unadhani mimi nipo sawa na wewe? unajua nimemaliza mwaka gani form four na form six? plus chuo kikuu? au kisa nime-post neno "pumba" unaona tuko sawa?
Mkuu usihofu:NAOMBA KUELEKEZWA MUHUNDO MPYA WA VIWANGO VYA UFAHULU (YAANA MADARAJa)
Wadau hii maana yake nini pointi ziko Sawa Div tofauti. Anayejua vigezo vilivyotumika atujuze tafadhali
Ukiangalia matoke ya shule hii iliyoko mkoani Kagera mmoja kapa point 42 - kaandikiwa Division V, Mwenzanke hivyo hivyo kaandikiwa Div. 0 sijui hii inaendaje wakuu. Angalia hapo kwenye RED, je ndiyo hivyo ama wamepitiwa?
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S4327/0014
[/TD]
[TD="width: 4%"]M[/TD]
[TD="width: 6%"] 42[/TD]
[TD="width: 4%"]0[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"] S4327/0015[/TD]
[TD="width: 4%"] M[/TD]
[TD="width: 6%"] 23[/TD]
[TD="width: 4%"] II[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'B'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S4327/0016[/TD]
[TD="width: 4%"]M[/TD]
[TD="width: 6%"] 42[/TD]
[TD="width: 4%"]IV[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"] S4327/0017[/TD]
[TD="width: 4%"] M[/TD]
[TD="width: 6%"] 39[/TD]
[TD="width: 4%"] IV[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"] S4327/0018[/TD]
[TD="width: 4%"] M[/TD]
[TD="width: 6%"] *E[/TD]
[TD="width: 4%"] *E[/TD]
[TD="width: 58%"] ---[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"] S4327/0019[/TD]
[TD="width: 4%"] M[/TD]
[TD="width: 6%"] 46[/TD]
[TD="width: 4%"] 0[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F' [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ili upate Div IV, lazima uwe na "C" moja au "D" mbili.
DIV IV inaanzia pointi 32-47. Mbona haichanganyi....Kazi kweli kweli kweli but Thanks, Maana nimeona kuna jamaa kapata point 45 - Div IV mwingine point 43 - Div 0 wee acha tu ni kuchanganya watu tu hapa
zero zipo kama kawaidaCcm imepanua goli sasa wanafunzi Wote wamefaulu division 5 ni wengi hakuna division zero
Mkuu usihofu:
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]ALAMA
[/TD]
[TD]WIGO WA ALAMA
[/TD]
[TD]POINTI
[/TD]
[TD]TAFSIRI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]A
[/TD]
[TD]75-100
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]UFAULU ULIOJIPAMBANUA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]B+
[/TD]
[TD]60-74
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]UFAULU BORA SANA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]B
[/TD]
[TD]50-59
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]UFAULU MZURI SANA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]C
[/TD]
[TD]40-49
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]UFAULU MZURI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D
[/TD]
[TD]30-39
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]UFAULU HAFIFU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]E
[/TD]
[TD]20-29
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]UFAULU HAFIFU SANA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]F
[/TD]
[TD]0-19
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]UFAULU USIORIDHISHA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
MADARAJA MAPYA NA POINTI ZAKE
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]DIVISION
[/TD]
[TD]WIGO WA POINTI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I
[/TD]
[TD]7-17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]II
[/TD]
[TD]18-24
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]III
[/TD]
[TD]25-31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IV
[/TD]
[TD]32-47
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]48-49
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]