Matokeo Kidato cha Nne: 'Mbeleko' zatamalaki

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Katika kile kinachoonekana kama jitihada za Serikali kuhakikisha ufaulu wa kidato cha nne unapanda, wasahihishaji wa mitihani hiyo mwaka huu wamepewa maagizo maalum. Maagizo hayo ni kusahihisha hoja na si lugha wala mpangilio wa jibu. Maagizo hayo yalisambazwa katika vituo vyote vya kusahihishia mitihani hiyo kikiwemo kile cha Mbezi Beach,jijini Dar es Salaam.

Wasahihishaji mara nyingi walijikuta katika wakati mgumu katika kutekelezamaagizo hayo kwakuwa 'walilazimishwa' kutafsiri kile ambacho wanafunzi walilenga kukisema. Ilikuwa kazi pevu kuingia kwenye vchwa vya wanafunzi. Lakini,wasahihishaji hawakuwa na jinsi. Ni mbeleko kuta juu.

Nyaraka za awali zinaonyesha kuwa ufaulu umeongezeka huku wavulana wakifaulu zaidi katika wastani. Hatahivyo, wasichana wameng'ara katika wanafunzi bora wa kitaifa. Matokeo husika yatatolewa rasmi kabla ya kusha mwez wa Februari.

More to come...
 
Elimu ya tanzania imeoza!kwa makusudi ili ccm itawale milele
 
Wanaofanya mitihani ni walimu na wasimamizi siku hizi bhana hakuna cha elimu na kufauru.NYAMBAFU
hao wanaotangazwa ameongoza wape leo mtihani na uasimamie kihalali utapata picha nzima.
 
Sijui lini tutaacha
 
Source plzz

zoez la usahihishaj linatawaliwa na usiri sana,sidhan kama mtoa mada atakubal kutoa sosi,na kingine ni kwamba huenda yeye ni miongon mwa waliosahihisa au ameambiwa na wasahihishaji,
 

Yupo jamaa yangu karudi jana, nitamwona ili nithibitishe hili!
 
zoez la usahihishaj linatawaliwa na usiri sana,sidhan kama mtoa mada atakubal kutoa sosi,na kingine ni kwamba huenda yeye ni miongon mwa waliosahihisa au ameambiwa na wasahihishaji,

well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…