Matokeo kidato cha nne sisi student 2011 tulaumiwe

Jericho Jr.

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
75
Reaction score
6
hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?
 
hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?
Yap Jericho,sisi students ndo 2laumiwe coz hatupo tayar kabisa kupokea maelekezo ya walimu we2! It's very different na miaka ya nyuma nashangaa sana pngne globalization ime2athir mana'ke bongoflava kwa sana! Nami n mmoja wa wahtimu mwaka jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…