Jericho Jr.
Member
- Jan 8, 2012
- 75
- 6
hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap Jericho,sisi students ndo 2laumiwe coz hatupo tayar kabisa kupokea maelekezo ya walimu we2! It's very different na miaka ya nyuma nashangaa sana pngne globalization ime2athir mana'ke bongoflava kwa sana! Nami n mmoja wa wahtimu mwaka jana!hebu nisaidien brudas n sistas kwa nini miaka ya karibuni kidato cha nne kimekua na sifa zisizo rizisha.Nini tatizo jamani au sisi student ndo wakulaumiwa?