Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandiko lanko ni la saa 12 na dakika 29, ina maana kama kutangazwa huko kungeanza saa 11 basi muda huu ungekuwa unatuambia kina(li)semwa. Au?
Hapo kwenye red, umekosea au ndivyo ulivyotaka isomeke na ieleweke hivyo?Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
tutakimbiana humu bt everything ll b cul.zo yaje cz nmechoka kusubir
ooh! kumbe bado wakusoma?tutakimbiana humu bt everything ll b cul.zo yaje cz nmechoka kusubir
kwanini mkimbiane?tutakimbiana humu bt everything ll b cul.zo yaje cz nmechoka kusubir
kipi kinachoshangaza hapo?ooh! kumbe bado wakusoma?
nimependezwa tu na jina lake ndo maana nikamuuliza kiuchokozi.kipi kinachoshangaza hapo?
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
Kwa kiingereza hiki unategemea matokeo gani tofauti badala ya kuwahi tu fomu pale VETA ili angalau uambulie ufundi stadi!!??we av done de best papa ll do de rest
Kwa kiingereza hiki unategemea matokeo gani tofauti badala ya kuwahi tu fomu pale VETA ili angalau uambulie ufundi stadi!!??