Matokeo kidato cha nne yatatangazwa live tbc1 saa 11!

Mpigaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
384
Reaction score
42
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
 
Bandiko lanko ni la saa 12 na dakika 29, ina maana kama kutangazwa huko kungeanza saa 11 basi muda huu ungekuwa unatuambia kina(li)semwa. Au?
 
Bandiko lanko ni la saa 12 na dakika 29, ina maana kama kutangazwa huko kungeanza saa 11 basi muda huu ungekuwa unatuambia kina(li)semwa. Au?

12:29 ni saa 6 na dakika 29!
 
Kwenye mtandao wameshaweka? Mbona taarifa zako hazijitoshelezi?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!
Hapo kwenye red, umekosea au ndivyo ulivyotaka isomeke na ieleweke hivyo?

Sote tunajua kuwa waziri wakati wo wote ktk mwaka huu a-ta-tangaza matokeo. Tusichokijua na ambacho tunataka kujua ni tarehe gani? Bado hujatupa taarifa ya maana hapa labda ni kutujulisha tu kuwa atakayetangaza atakuwa waziri, taarifa ambayo sio wanayoitaka wanajf kwa sasa.
 
ngoja tuone isije ikawa kama mwaka jana

  • :lol:

kazi hipo leo,kivumbi cha leo.naomba yaje kama ninavyotarajia
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!

Naibu waziri kazi yake kutangaza ya shule za msingi
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!Naibu Waziri wa Elimu atatangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha nne 2011.Habari hizi ni kwa mujibu wa msemaji wa wizara!

Ni saa ngapi Mkubwa??
 
Wapendwa jf matokeo ni lazima yatangazwe .Nijulishen kinaganaga kuhus standardization ina kua vp hiy??
 
Kwa kiingereza hiki unategemea matokeo gani tofauti badala ya kuwahi tu fomu pale VETA ili angalau uambulie ufundi stadi!!??

Duh! Umeua mkuu. Na huko Veta wanaitaji uwe Na "D" mbili.
 
Jamani naibu waziri wa elimu yupo Dodoma labda useme Waziri mkuu wa elimu! Na matokeo kutangazwa saa 11 tbc ni uwongo maana bunge litakuwa live!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…