Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,178 Reaction score 4,410 Apr 29, 2017 #1 *Matokeo kidato cha nne,* div 1=1 div 2 =1 div 3 &4 =0 div zero = 200. Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya Akili yangu naijua mwenyewe
*Matokeo kidato cha nne,* div 1=1 div 2 =1 div 3 &4 =0 div zero = 200. Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya Akili yangu naijua mwenyewe