iyo ndo BRN ya kwenye elimu watakwambia imeongeza ufaulu kwa asilimia tisini sasa subili ya form six hawa wa div 5 uwone watakavyo faulu zaidi ya form four yao walivyo faulu
ni mfano 2,>kama unampa fundi bomba kuwa wazir wa elimu unategemea nn? anayepanga mshaara wako ni mwanasiasa, tz kila ki2 now kinaendeshwa na hawa wanasiasa, wengine feliya 2, ndo maana yote haya yanatokea. GPA sec? kweli digitali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.