Matokeo kidato cha pili yanachanganya

Hii nchi ina wanamchi wajinga sana. Na viongozi wajinga zaidi.
 
iyo ndo BRN ya kwenye elimu watakwambia imeongeza ufaulu kwa asilimia tisini sasa subili ya form six hawa wa div 5 uwone watakavyo faulu zaidi ya form four yao walivyo faulu
 
ni mfano 2,>kama unampa fundi bomba kuwa wazir wa elimu unategemea nn? anayepanga mshaara wako ni mwanasiasa, tz kila ki2 now kinaendeshwa na hawa wanasiasa, wengine feliya 2, ndo maana yote haya yanatokea. GPA sec? kweli digitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…