Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 524
- 131
Mtoto wa Kikwete vipi? Au mtihani huu wa Form Six hakuwa na binti/kijana yeyote. Bila shaka lazima apatikane mtoto mmoja wa kigogo tumjadili-Level 1, the low minded people.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa imefunguliwa page ya necta kazi ni kureload tu mpaka yatoke
Mh! Kama vile saa kumi inachanja mbuga vile....nina uhakika na nilichokiandika.over
Duu,iddnt know,kumbe mukandala ni mwenyekiti wa baraza la mitihani?kuna dogo wangu alifanya CBG,ngoja nmsikilizie kama alikuwa anasoma au anazingua nimpeleke VETA!Punde tumetoka kwenye Mkutano wa kujadili matokeo ya kidato cha sita chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani,Prof. Rwekaza Mukandala.Matokeo yatatoka wakati wowote kuanzia sasa.Lazima iwe juma hili.Dr.Ndalichako ameshapewa agizo la kuyatangaza.Matokeo kiujumla si ya kuvutia.Watahiniwa kaeni chonjo...
mkuu zikitoka yatawekwa fasta kwenye internet?Kuweni na subira. Mimi ninayo lakini siruhusiwi kuyatoa. Kama kawaida,wapo waliofaulu sana na waliofeli sana. Shule za Serikali zimefanya vizuri. Marian Girls, Feza Boys,moto chini. Sayansi ufaulu juu...
Sijawahi kusema uongo humu jamvini. Nakumbusha mambo mawili tu niliyowahi kusema na kuonwa muongo. Kwanza,kuwa madaktari wangegoma tena. Ikawa kweli. Pili,kuwa matokeo ya kidato cha nne yamechakachuliwa. Ikadhihirika. Nitake radhi Mkuu..
Sijawahi kusema uongo humu jamvini. Nakumbusha mambo mawili tu niliyowahi kusema na kuonwa muongo. Kwanza,kuwa madaktari wangegoma tena. Ikawa kweli. Pili,kuwa matokeo ya kidato cha nne yamechakachuliwa. Ikadhihirika. Nitake radhi Mkuu..
hayajacheleweshwa mkuu,,, kwa experience yangu,huwa yanatoka kuanzia 1st may,,,