bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,357
Kwani jamani kuna siku hata moja tokea mheshimiwa Kikwete aingie madarakani ufaulu wa mitihani umewahi kuwa wa chini.Kila mwaka iwe darasa la saba, form two, form four, form six na hata vyuoni ufaulu unaongezeka tu but ukiangalia in reality hakuna kitu kabisa