Matokeo kidato cha sita 2013

Siwezi tetemeka wakati nina uhakika wa one MUNGU NISAIDIE...!
 
Viwango vya ufaulu vitakavyo tumika ni vile vya mwakajana, na ni hvyo hvyo ambavyo serikali imekosoa na kusababisha matokeo ya form 4 kubatilishwa.
 
Yan we unawaongelea form 6, wakat hata form 4 wenyewe hawajui ya kwao yanatoka ln.
 
Siwezi tetemeka wakati nina uhakika wa one MUNGU NISAIDIE...!

Safi sana kijana Nyanda kwa kujiamini.Maana imeandikwa ukiwa na imani hata chembe ya haradari waweza amuru mlima uhame nao ukahama.
 
Mshaanza!!

Umenichekesha sana! Yani lugha ya maandishi. Kama nakuona. Hawa madogo wanasumbuaga sana humu wakati wa matokeo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wahitimu wa siku hizi raha tupu teknolgia imesaidia sana, matokeo yakitangazwa tu yanawekwa kwenye website fasta yanapatikana hata kwenye simu. Enzi zetu ilikuwa ishu kuyaona matokea yako hata kama upo town matokeo yakitangazwa kuyaon a hadi kwa afisa elimu utakuta yamebandikwa ukutani, wengine wakishaona yao wanachana karatasi zenye majina, yaani ilikuwa changamoto kufahamu matokeo yako. Nashauri kwenye matokeo haya ya form 6 waweke kabisa na majina ya wanafunzi na sio namba
 
Mbna bado xana wadau!juc a day dreams cuz Mrugo aldai mpaka yatoke ya 4m4 ndio yaje ya 4m6..sasa hata ya 4m4 tu bado
 
Walitangaza yatatoka mwezi wa saba,
hayo ya wiki ijayo yakwako
 
ZN doto ndio yupo sahihi kabisa; kwa habari za uhakika kabisa matokeo ya kidato cha 6 ni mwezi wa 7 mwanzoni. kaa tulia wewee! mtoto mdogo!!!! OVER!!!!!!!!
 
Safi sana kijana Nyanda kwa kujiamini.Maana imeandikwa ukiwa na imani hata chembe ya haradari waweza amuru mlima uhame nao ukahama.

Acha assumption wewe. Ni imani ipi hiyo iliwahi kuhamisha milima?. Chamsingi madogo wafaulu wajaze nafasi katika vyuo vikuu vilivyozuka kama uyoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…