NDULU MAYANZI
New Member
- May 16, 2013
- 4
- 1
matokeo ya kidato cha sita 2013 yatatoka wiki ijao , walengwa naomba msitetemeke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi tetemeka wakati nina uhakika wa one MUNGU NISAIDIE...!
Siwezi tetemeka wakati nina uhakika wa one MUNGU NISAIDIE...!
Mshaanza!!
Kesho!
kakudanganya nanmatokeo ya kidato cha sita 2013 yatatoka wiki ijao , walengwa naomba msitetemeke.
Safi sana kijana Nyanda kwa kujiamini.Maana imeandikwa ukiwa na imani hata chembe ya haradari waweza amuru mlima uhame nao ukahama.