kwa tetesi za haraka ila msininukuu kutoka mamlaka husika nayo pia yachakachuliwa tena kuongeza haja za wanasiasa kama kinachotokea kidato cha nne sasa.mwenye fununu hembu funguka
Wacha yapendezeshwe yatoke yanang'aa mkuu c unajua na yenyewe yalikuwa mabaya kuzidi ya o'level na mfumo uliotumika ni tofauti na wa mwaka 2012 chezea Tanzania ww.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.