Chuo cha serikali kweli kinakuwa na wahitimu 43? Afu unakuta kuna walimu zaid ya 20. Napendekeza chuo cha ualimu Dakawa kifungwe,yale majengo serikali ifungue hata chuo cha ufundi wajumuishe na dakawa veta
Wasauzi walituachia majengo mengi,mazuri na ya kiwango kwahyo yatafaa kabisa kwa shughuli za ufundi ili watanzania wengi wajiajili kupitia ufundi