Hapo chacha BRN hadi 95.
Asante sana
Duh....kuna watu wana D D C hila div 4 sasa hao chuo inakuaje kweli hii big results full maajabu
Hapo mbona chuo 1 kwa 1? Tena huyo ataenda kusomea udaktari au uanasheria kama atakosa urubani, kwi kwi kwi
Siku hizi kwa Advanced level div one inaanzia pt 3 hadi 7, div two inaanzia pt 8 hadi 11, div three inaanzia 12 hadi ngapi sijui sina hakika lakini hapo kwenye one nina uhakika.
Two inaanza 8 mpaka 9 bac.
Michezo 64, Nchi 32......siku 30...mshindi mmoja (Ujerumani)
........natumai STRABAG wataendelea kufanya kazi kwa munkari zaidi.....
General Studies ilikuwa unawekea S,sasa hv watu wanagonga A,B,C,D,E,S kama masomo mengine,kweli BRN iko kazini,asante mtoa post kwa kutupa matokeo.
Hii serikali mimi siiamini,eti ufaulu asilimia 95!ya kweli haya jamani?au ndo uchaguzi 2015
Hatimaye yametimia.
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014
YATANGAZWA!
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6
yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na
jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia
85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia
95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato
cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni
12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na
asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe
Je hakuna siasa katika ufaulu huu mkubwa kuzingatia mwakani kuna uchaguzi????
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?