Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.
Duh....kuna watu wana D D C hila div 4 sasa hao chuo inakuaje kweli hii big results full maajabu
 
Duh....kuna watu wana D D C hila div 4 sasa hao chuo inakuaje kweli hii big results full maajabu

Hapo mbona chuo 1 kwa 1? Tena huyo ataenda kusomea udaktari au uanasheria kama atakosa urubani, kwi kwi kwi
 
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?
 
jaman ufaulu wangu BBC,b-ECONOMICS,b-HISTORY,c-GEOGRAPHY nimepata 3 ya mwanzo ya 10 na nataka kusoma agricultural economics&agribusiness pale sua,je ntafanikiwa?
 
Siku hizi kwa Advanced level div one inaanzia pt 3 hadi 7, div two inaanzia pt 8 hadi 11, div three inaanzia 12 hadi ngapi sijui sina hakika lakini hapo kwenye one nina uhakika.

Two inaanza 8 mpaka 9 bac.
 
Msaada tutani!Alama *E kwenye matokeo ya shule nzima inamaanisha nini?
 
Hiyo ni siasa kabisa. ...mwakani wanaweka ma GPA
 
General Studies ilikuwa unawekea S,sasa hv watu wanagonga A,B,C,D,E,S kama masomo mengine,kweli BRN iko kazini,asante mtoa post kwa kutupa matokeo.

What!? Huu ufaulu sijui kama unareflect reality au kuna genetically modified results (GMR)
 
Hatimaye yametimia.hongera kauta
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye yametimia.

Je, elimu itaboreka lini? Tumeamua kuwapitisha kisiasa watoto wetu hali ya kua hali halisi ilivyo ni tete, sawa, wakubwa wameshaamua iwe hivyo na imekuwa.
 
Sikitiko langu ni kwa Tambaza, hasa wanafunzi wa kike, pamoja na kuwa wapo karibu na chuo cha muhimbili, kwamba wapate hamasa ya kusoma, wao wanatoa uchi kwa wanachuo tu.

Nadhani serikali iangalie upya hii dhana ya kuchanganya wanafunzi wa kike na wa kiume kama inaongeza ufaulu au kama imepunguza ufaulu.

MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014
YATANGAZWA!
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6
yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na
jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia
85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia
95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato
cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni
12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na
asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe


Je hakuna siasa katika ufaulu huu mkubwa kuzingatia mwakani kuna uchaguzi????
 
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?

Utapata bila wasi wasi, shaka ondoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom