Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.
Ukweli namshukuru MUNGU,
na pia nashukuru juhudi ya waalimu wao;

Pia jua kuwa huyu hajawahi kusoma private.

Kweli shule yao imejitahidi haina div 4 wala 0.

Ni shule gani hiyo kamalizia na hongera kwako pia:thumbup::thumbup:
 
Wanangu walikuwa wanachukua PCB na wamepata ifuatavyo E, D, C NA E, C, C hapa inakuwaje kuhusu Vyuo wakuu ?
 
Huko vyuoni sasa hizo supp!!! watu watakuwa wanafanya supp kama UE. kwa siasa hizi 95%???? joke????
 
Nakulilia tambaza yangu u wapi

Mwalimu mkuu wao alinifundisha advance mathematics Mr Zuberi enzi zangu kipindi naenda kumuamisha dogo kumpeleka minaki bora kafaulu huko mbele ya safari maana angebaki pale na hii big results angetengeneza duara tu
 
HABARI MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA!.ANGALIA KILA SHULE HAPA ,MATOKEO KWA UJUMLA,SHULE KUMI ZA KWANZA NA KUMI Z MWISHO NA


3:13:00 pm


Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.


- SHULE 10 ZILIZOONGOZA


1. Igowole


2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa


- SHULE 10 ZA MWISHO


1. Ben Bella


2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe


KUYAONA MATOKEO INGIA HAPA
 
Reactions: Gor
- SHULE 10 ZA MWISHO


1. Ben Bella


2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe


KUYAONA MATOKEO INGIA HAPA[/QUOTE]
mbona hakuna link mkuu
 
 
vizuri naomba kuuliza
my young brother kapata hivi
Physics , C
Biology D
Chemistry C
ana div 3 ya 13.
anaweza kusoma Pharmacist?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…