vip amepata ana point ngap?Thank you MY GOD kwa ajili ya BINTI yangu!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vip amepata ana point ngap?Thank you MY GOD kwa ajili ya BINTI yangu!!!!!!
Ukweli namshukuru MUNGU,
na pia nashukuru juhudi ya waalimu wao;
Pia jua kuwa huyu hajawahi kusoma private.
Kweli shule yao imejitahidi haina div 4 wala 0.
Ni shule gani hiyo kamalizia na hongera kwako pia:thumbup::thumbup:
Nakulilia tambaza yangu u wapi
# HABARI MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014
YATANGAZWA!
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6
yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na
jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia
85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia
95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani
kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana
waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu
ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa
na asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe
Asante mkuu
BRN si ndiyo hii sasa?