humu si kuna madogo wa Tambaza humu,tatizo ni nini madogo
kwasasa hamna S kama grade vilevile hzo g.s na bam hazhesabiwi kwnye divsn.General Studies ilikuwa unawekea S,sasa hv watu wanagonga A,B,C,D,E,S kama masomo mengine,kweli BRN iko kazini,asante mtoa post kwa kutupa matokeo.
Haloo wadau hivi Ndalichako alijiuzuru au alibadilisha kitengo? Nipo kijijini na sijapata taarifa zake nina takribani mwaka sasa.
Imekuaje hizi Tech ziwe kwenye list ya kumi bora mkiani? Kweli Iyunga, Mtwara Tech, nini kimewapata hawa?
acsee 2014 nna 3 ya 10.phys C,chem B na biology B.je naweza pata nafasi ya kusoma pharmacy muhimbili?.na kama haiwezekani unanshauri nikasome course gani?
Hizo ni shule za. Sayansi.......so usiogope wanaoongoza wote ni masomo ya arts(sanaa)Imekuaje hizi Tech ziwe kwenye list ya kumi bora mkiani? Kweli Iyunga, Mtwara Tech, nini kimewapata hawa?
Kweli kabiaakwa mfumo huu wa elimu kuchanganya na siasa tutakuja kushuhudia mhitimu wa chuo kikuu asiejua kusoma na kuandika
Yaani tunaandaa taifa la wajinga!kwa mfumo huu wa elimu kuchanganya na siasa tutakuja kushuhudia mhitimu wa chuo kikuu asiejua kusoma na kuandika
Mkuu ana likizo ya mwaka ila anahusika na hiyo Top down hasa No 8.
huu mtindo wa kuficha majina huu,mxxzy
Mkuu mimi huko sihusiki na sitaki kuhusika, namuulizia tu dada yetu Dr. Joyce Ndalichako, ni mtu mwenye msimamo ktk mambo ya msingi na aliisimamia vzr sana NECTA kabla ya kuja haya ma miradi ya big rizat nao. Namkumbuka sana, bora arudi asimamie utendji wa zamani wala sio huu wa big rizat.