humu si kuna madogo wa Tambaza humu,tatizo ni nini madogo
tatizo descipline......... ninaowasikitikia ni wale ndugu zangu wanaotoka kwenye familia za ugala na mguu wa kuku... wazazi wamejitahidi myoto anaishia kupata zero ya kujitakia.......
angalau basi hata ukapatakadegree kako ukakosa kazi hilo jambo jingine........ big up kwa wote mliofaulu brothers and sisters.........