Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.
J.J. Mungai

Mamdenyi ebu nieleweshe, mbona kila mmoja kafaulu hata sayansi ambayo inaletaga tabu kwa watoto wetu. Naona umeshangilia sana! Au ni yale politically modified results! - BRN! PCB huwa tabu form six lakini naona kila mmoja amefaulu with B's and C'c
 
Kwani waliopo wamekosea nini jamani kuweni na upeo kidogo tu. Km wanafunzi walifaulu form four kuanzia c Tatu name zaidi unategemea hao wanafunzi watafeli sana matokeo ya form 6..unaona wengi wamefaulu angalia Kwa division..mfano minolity Kwa waliofaulu ambao no 10 percent ndo division 1., na majolity ni division 3 name 4...kumbuka to kea 1973 sheria ya baraza ni kuwa MTU anahesabiwa amefaulu akiwa amepata d2 ambayo ni mpaka leo...
 
Hivi na huyu yupo CBG ana div2 flat B,gs D, bam C,anataka pharmacy muhimbili atapata kwel
 
Hii ya tambaza Imenitisha

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
mmmmmmmh hii ndio brn bwanaeee!!!
 
Katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana tumeshuhudia katika shule zilizofanya vizuri hakuna shule hata moja toka kanda ya ziwa ikijumuisha mikoa ya Shinyanga Mwanza Kagera,Geita na Mara.
Wakati huo hii ndio kanda yenye idadi kubwa ya watu na inachangia pato la taifa kwa kiasi kikubwa.
SWALI:Nini kimetupata kanda ya ziwa? Tumerogwa,tunaujumiwa au tumebweteka?.
Naomba maoni yenu wakuu😱
 
Mkuu nipe matokeo ya Bwiru girls maana kwa maelezo yako hali ni mbaya na juzi tu nimetoka mwanza kumpeleka mtoto hapo Bwiru..!
 
Wewe mwenyewe ume fail hata kutaja idadi kamili ya mikoa ya kanda ya ziwa
 
No,
siyo chakachua, my dota was briit tokea mbali sana;
Na shule yao waalim wako siriaz sana kufundisha;
Ni shule ya tofauti sana waalimu wana wito wa kati yao.

Mamdenyi ebu nieleweshe, mbona kila mmoja kafaulu hata sayansi ambayo inaletaga tabu kwa watoto wetu. Naona umeshangilia sana! Au ni yale politically modified results! - BRN! PCB huwa tabu form six lakini naona kila mmoja amefaulu with B's and C'c
 
No,
siyo chakachua, my dota was briit tokea mbali sana;
Na shule yao waalim wako siriaz sana kufundisha;
Ni shule ya tofauti sana waalimu wana wito wa kati yao.

Ni shule gani hiyo Mamdenyi maana bado nasomesha inaeza nifaa kwa mtoto
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…