Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.
Jamani mbona mie hata siyaele, kuna dogo kapata DDCBC(PCB)..na yuko div 3 ya 12, huu mdadavuo ndo ukoje skuiz? maana zamani sio ingekua 1 ya 9..

Siku hizi kwa Advanced level div one inaanzia pt 3 hadi 7, div two inaanzia pt 8 hadi 9, div three inaanzia 10 hadi 13, otherwise four na zero.

Kingine, div na point wanahesabia masomo ma3 tu ya kwenye combination achilia mbali GS na BAM ambayo ni ya ziada tu ktk kukamilisha elimu ya form 6.
 
Siku hizi kwa Advanced level div one inaanzia pt 3 hadi 7, div two inaanzia pt 8 hadi 11, div three inaanzia 12 hadi ngapi sijui sina hakika lakini hapo kwenye one nina uhakika.

Ni hivi
I:3-7
II:8-9
III:10-13
nyingne 4 na zero hukooooo
 
Mkuu hebu niweke sawa, hivi Oswadi Mang'ombe na Chifu ihunyo ni shule mbili tofauti au ni shule moja ila majina mawili kama ilivyokuwa Musoma Allience na Musoma tech?

shule mbili tofauti chief ihunyo ni girls tupu ipo butiama na osward mang'ombe ni boys tupu ipo busegwe
 
shule mbili tofauti chief ihunyo ni girls tupu ipo butiama na osward mang'ombe ni boys tupu ipo busegwe

Sawa mkuu, ila big result ina matokeo ya kushangaza sana mwaka huu hadi siamini, 95%?
 
Siku hizi kwa Advanced level div one inaanzia pt 3 hadi 7, div two inaanzia pt 8 hadi 11, div three inaanzia 12 hadi ngapi sijui sina hakika lakini hapo kwenye one nina uhakika.

Naomba nikusahihishe kidogo mkuu. Div one pt 3 - 7, two pt 8- 9, three pts 10 - 13, Div four Haiewekewi pts ila upate walau D mbili au C moja chini ya hapo Div 0
 
Mkuu hebu niweke sawa, hivi Oswadi Mang'ombe na Chifu ihunyo ni shule mbili tofauti au ni shule moja ila majina mawili kama ilivyokuwa Musoma Allience na Musoma tech?

Ni shule mbili tofauti
 
Wadau eti vyeti huwa vinatoka mda gani baada ya matokeo? Au vinaambatana na matokeo?
 
Halafu mbona wameweka namba tupu bila majina. Ya majina inanoga zaidi
 
siku hizi kufeli ni uamuzi wako, shule ya mwisho mbona haina div 4 na 5 za kutosha, enzi zetu mbona shule ya mwisho walikuwa wamefaulu!
 
Naomba nikusahihishe kidogo mkuu. Div one pt 3 - 7, two pt 8- 9, three pts 10 - 13, Div four Haiewekewi pts ila upate walau D mbili au C moja chini ya hapo Div 0

Asante kwa masahihisho mkuu, uwe na siku njema wakati tunahuzunikia maajabu ya big result ya ufaulu kwa 95% kitu ambacho si rahisi kutokea hasa ukizingatia hali tete ktk sekta ya elimu.
 
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014
YATANGAZWA!
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6
yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na
jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia
85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia
95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato
cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni
12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na
asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe

Je hakuna siasa katika ufaulu huu mkubwa kuzingatia mwakani kuna uchaguzi????
 
Tambaza ya kujiuza lasvegas unatarajinini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom