Ndugu wana chama wa dawati hili, suala la Elimu kidogo muda miaka kama minne mfululizo limeanza kuleta shida,na jamii imekuwa ikitizama hasa wizara itafanya nini ili kunusuru watu wake ama hawa watoto ili wapate, elimu bora itakayo wasaidia kuendelea na hata katika maisha ya fani zao,
kitu kibaya sana ambacho kimekuwa kilio, cha watu wengi, ni pale tu undugu ama kujuana unapoingia katika masuala nyeti ambayo hayahitaji masihala, pale utoaji wa mikopo,na uchaguzi wa watahiniwa kutotendewa haki, Mfano,watu wengi wenye alama nzuri kuachwa,kapuni wale wasio na alama nzuri kuchukuliwa kwenda vyuoni, katika elimu ya juu, watu walio na ufaulu mzuri, hawapewi mikopo, badala ya wale walio na alama za chini wanaenda, watu wamekata tamaa, na wizara hii,