Matokeo kidato cha sita

Matokeo kidato cha sita

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Bora wizara ya elimu waziri wake atoke miongon mwa hawa form4 wanaosubiri matokeo yao,kuliko kuongozwa na vilaza mapacha(shukuru§mulugo)AU MNASEMAJE WAPENDA ELIMU?
 
Bora wizara ya elimu waziri wake atoke miongon mwa hawa form4 wanaosubiri matokeo yao,kuliko kuongozwa na vilaza mapacha(shukuru§mulugo)AU MNASEMAJE WAPENDA ELIMU?

Dr. S Kawambwa.
 
Bora wizara ya elimu waziri wake atoke miongon mwa hawa form4 wanaosubiri matokeo yao,kuliko kuongozwa na vilaza mapacha(shukuru§mulugo)AU MNASEMAJE WAPENDA ELIMU?

Dr. S Kawambwa?
 
Hujasomeka wewe mwenye huu uzi tukusaidie nini hasa?
 
Wwe hata hayo matokeo unayosubiri lazima utakuwa na zero manake unachoongea ni kama punguani!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii siyo facebook....kila neno linalokuija tu kichwani unaandika. Kaa chini utafakari.Siku nyingine usirudie tena.
 
Ni sahihi, tumieni Jf kuleta mabadiriko na mbinu mbadala ili kuondoa haswa janga hili la kitaifa.
 
Ndugu wana chama wa dawati hili, suala la Elimu kidogo muda miaka kama minne mfululizo limeanza kuleta shida,na jamii imekuwa ikitizama hasa wizara itafanya nini ili kunusuru watu wake ama hawa watoto ili wapate, elimu bora itakayo wasaidia kuendelea na hata katika maisha ya fani zao,
kitu kibaya sana ambacho kimekuwa kilio, cha watu wengi, ni pale tu undugu ama kujuana unapoingia katika masuala nyeti ambayo hayahitaji masihala, pale utoaji wa mikopo,na uchaguzi wa watahiniwa kutotendewa haki, Mfano,watu wengi wenye alama nzuri kuachwa,kapuni wale wasio na alama nzuri kuchukuliwa kwenda vyuoni, katika elimu ya juu, watu walio na ufaulu mzuri, hawapewi mikopo, badala ya wale walio na alama za chini wanaenda, watu wamekata tamaa, na wizara hii,
 
Kwa mabango haya sijui kama huyu jamaa atapost kitu tena humu Jf.
 
Back
Top Bottom