Mngoni Halisi
Member
- Jan 8, 2012
- 8
- 1
Jaman me hata sielewi kuhusu haya matokeo ya kidato cha nne.Mana nasikia Wizarani yametoka lkn kwenye mtandao bado.Kama ni ivyo mbona vyombo vya habari havijatangaza kama Matokeo yametoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!huku ndio kuchanganywa kabisa......!hata mimi nimesikia...