Hii shule kweli ni kiboko kati ya watainiwa zaid ya 250 ni 22 tu ndo wameclear....inamanisha nn university zinaproduce makapi au law school ni ngumu sana?
unauhakika na ulichokiandika hapa?
Waliofaulu ni 41 kati ya 270. So jamaa hajakosea saaana
Waliofaulu ni 41 kati ya 270. So jamaa hajakosea saaana