Matokeo:Law School of Tanzania

Matokeo:Law School of Tanzania

MFYU

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
505
Reaction score
69
kwa wale walo apply intakes za Feb 2013 na August matokeo yametoka,tembeleen web
 
Sasa hawa nao ndo nini kuweka intake ya mwezi may wakati haikuwepo kwenye kuapply?
 
pole sana Mtundu Kisu..me mepata ya Feb...bt ts so unfair..
 
Hii shule kweli ni kiboko kati ya watainiwa zaid ya 250 ni 22 tu ndo wameclear....inamanisha nn university zinaproduce makapi au law school ni ngumu sana?
 
Nenda kajionee utapata jibu.hivihivi mtu akikwambia law school ngumu huwezi kumuelewa.utamu wa ngoma ingia ucheze usiskilizie pembeni@ Dingi mchafu
 
They are wasting peoples time and money it is a real loss let them think twice !
 
Waliofaulu ni 41 kati ya 270. So jamaa hajakosea saaana

sijasema kama kakosea, but nimemuuliza kama ana uhakika.

ni vizuri kwa wanasheria kuwa na uhakika na jambo kuliko ku hold jambo ulilolisikia tu (hearsay).
 
Waliofaulu ni 41 kati ya 270. So jamaa hajakosea saaana

Remind you.... kati ya hao 41 kuna first seat na wale waliorudia mitihani miaka ile.
Law school haina kitu cha kutisha sana kusema almost class nzima hawakuelewa masomo, tatizo lipo kwa walimu bado. Incase waliofeli wangekua wachache, ningesema tatizo lipo kwa wanafunzi.
 
hakuna watu wanaliwa akili zao kama wakufunz wa law schul ni vimeo hakuna mfano
 
Back
Top Bottom