Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe?

Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe?

MATOKEO MABAYA YA KIDATO CHA NNE, NANI ALAUMIWE?


  • Total voters
    12

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,054
Reaction score
137
Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe

A) Serikali

B) Walimu

C) Wanafunzi

D) Social media
 
Usahisaji mbovu tumeona watoto wenye uwezo kabisa wamefeli wamefaulu wasio uwezo kabisa.wasaishi upya kuna njama za maksudi kufeli watoto wa walala hoi.
 
watanzania wote kwa ujumla wao wanahusika, hata wewe huna mtoto shuleni hauoni kinachoendelea ukakipigia kelele?
 
Kila mmoja alaumiwa, kwa nini tuchangie sherehe tu tukiambiwa madawati au vitabu hatutaki
 
Usahisaji mbovu tumeona watoto wenye uwezo kabisa wamefeli wamefaulu wasio uwezo kabisa.wasaishi upya kuna njama za maksudi kufeli watoto wa walala hoi.

Mkuu kwani hao wasahihishaji hutoka wapi?
 
Big up Nyando na wengine kila wakati tunachangia harusi kipa imara hakuna anaekaa kuongelea maendeleo ya watoto wetu mabadiliko yanahitajika kuanzia ngazi ya familia , waalimu mpaka juu zaidi vinginevyo tutaendelea kuona matokeo mabaya kama haya
 
Walimu siwezi kuwalaumu sababu wako kwenye mgomo baridi,na sababu wanazo za msingi za kuwa kwenye mgomo huo.
Serikali inabidi wake chini na walimu wakubaliane ili mgomo uishe na watoto wetu wa shule za kata wafundishwe ,vinginevyo tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom