Elections 2010 Matokeo majimbo ya Mufindi

Elections 2010 Matokeo majimbo ya Mufindi

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Mufindi Kaskazini
JK 28,500
Slaa 5004

Ubunge CCM bila kupingwa

Mufindi Kusini
JK 30,700
Slaa 3,841

Ubunge CCM bila kupingwa
 
Mufindi Kaskazini
JK 28,500
Slaa 5004

Ubunge CCM bila kupingwa

Mufindi Kusini
JK 30,700
Slaa 3,841

Ubunge CCM bila kupingwa
Ndudu zangu wa IR kama kawaida yao!
 
Tunashukuru kwa taarifa!mwambie Jk na CCM,siku zao zinahesabika!!!
 
Kuna siku hawataweza kuchakachua matokeo kama ilivyojitokeza Dar...........
 
Expected results kwa Mufindi CCM wananufaika na ujinga wa waishio uko
 
Wakinga ni wabishi mno...wanachojua ni Nyerere na JK tu!
 
Mufindi Kaskazini
JK 28,500
Slaa 5004

Ubunge CCM bila kupingwa

Mufindi Kusini
JK 30,700
Slaa 3,841

Ubunge CCM bila kupingwa

watu wa mufindi ndugu zangu mbona mnaniangusha?? na mtakufa na umaskini wenu kwa kuendelea kuikumbatia CCM....MFWA MBEEEVALI NGUVALONGELA YUVA DEEH!!
 
wakinga ni wabishi mno...wanachojua ni nyerere na jk tu!
...mufindi kule mkubwa wabena ni wengi zaidi ya wakinga..wabena wameenea kutoka njombe hadi mitaa ya mufindi na karibu karibu huku ifunda..wakinga wako sana town, makete na rujewa ambako pia wamemix na wapangwa..hata hivo wameniangusha sana..na watakufa na umaskini wao kwa kuendelea kuikumbatia ccm..waache tuu waendelee kutembea km kadhaa just kufuata huduma za afya tuu..mambumbumbu wakubwa..
 
Back
Top Bottom