Matokeo makubwa kwa elimu itakuwa ndoto

Matokeo makubwa kwa elimu itakuwa ndoto

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
614
Reaction score
178
Salaam kwa wote.

Matokeo makubwa naona kama kiini macho upande wa elimu. Hii inatokana na serikali kushindwa kuwepeleka walimu tarajali katika mafunzo kwa vitendo (BTP). Kingine kinachokumba vyuo sasa ni chakula wazabuni wamegoma kuendelea kuleta chakala sababu wanadai hela kibao. Sasa hivi kila mkuu wa chuo anaamua anavyoona hali na kufunga chuo ili walimu wasilale njaa.

Kikwete batilisha uteuzi wa wabunge upeleke vijana hawa kwenye mazoezi ya kufundisha ili taifa lipate walimu bora.
 
Kwani kuna hasara gani kwa kikwete na wafahadhina wenzie, watoto wao wanasoma Savana plain + international schools,, huu ni mpango mkakati wa kuendeleza utawala wa kitemi, viongoz watakua wale wale tu, kna January Makamba, Lizone kikwete, hahahahaha ati Maji hufata mkondo
 
Back
Top Bottom