kumekuwa na utoaji holela wa elimu ya sekondari usiozingatia ubora na tija kwa taifa. Mbali na serekali yetu kuwa na mipango mikakati mizuri ya kuboresha elimu kwa ujumla bado wapo watu wamekuwa wakiichezea elimu hiyo kama kichwa cha mwendawazimu, hayo ni baadhi ya mabango ya vitambaa yaliyotundikwa mlangoni mwa shule moja bubu yakiwa na jumbe tofauti za kutia mashaka, ndugu mdau wa elimu katika khali hii una mtazamo gani juu ya kauli mbiu ya matokeo makubwa sasa?