Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

Status
Not open for further replies.
d(siasa)/d(elimu)+Mulugo+Uzembe wa nectaLog ya wachora mazombi=68% div-zero
BAADA YA UCHAKACHUAJI;d(siasa)/d(elimu)+pinda na vilaza wenzake ka Lukuzi+Uoga wa necta+kuhofia advance kukosa wanafunziLog ya kuhofia kukosa kula 2015 kwa magamba=37% div-0;Kwa wasoma hesabu chuo na A level watakubaliana na mimi
 

ndugu we mkali
 
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wele walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
 
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wale walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
 
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wele walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?

lilopangwa na Mungu mwanadamu hapangui kama ndiyo walipangiwa kututoka kwa njia hiyo lazima litimie.
 
Jana mlisema matokeo yatatoka leo mbona hatuyaoni au kesho bado haijafika??
 
Jumatatu, 27 May 2013, 18h39
tayari yametangazwa?
 
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wale walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?

Sio wote waliofaulishwa mkuu, sababu kuna mtu unakuta alikuwa ana div iv ya 26, xaxa akipata div iii ya 24 unafikiri kabebwa huyo?
 
Penatiiiiiiiiiiii!!!............ anakosa hapa duh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…