The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
I hope nitatoka na div 1 sasa na kuingia kwny 10 bora
daah,,toleo la kwanza ulipata ngapi??,,,kumbuka kuna watu wana za single digits,kumi na kumi na moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope nitatoka na div 1 sasa na kuingia kwny 10 bora
d(siasa)/d(elimu)+Mulugo+Uzembe wa nectaLog ya wachora mazombi=68% div-zero
BAADA YA UCHAKACHUAJI;d(siasa)/d(elimu)+pinda na vilaza wenzake ka Lukuzi+Uoga wa necta+kuhofia advance kukosa wanafunziLog ya kuhofia kukosa kula 2015 kwa magamba=37% div-0;Kwa wasoma hesabu chuo na A level watakubaliana na mimi
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wele walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
Huyo keshaenda A-level tayari maana ana div 2 nzuri tu akifeli sana atapata 23 isitoshe Math lazima apate C.
Made In Tanzania
Hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wale walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
hongereni nyote mliofaulishwa na serikali. Jamani na wele walio jiua cjui serikali atawasaidiaje?
kina necta wako wengi teh teh
Sio wote waliofaulishwa mkuu, sababu kuna mtu unakuta alikuwa ana div iv ya 26, xaxa akipata div iii ya 24 unafikiri kabebwa huyo?