Baada ya mchezo baina ya taifa stars dhidi ya harambe stsrs kumalizika kwa Harambe stars kupata ushindi wa mabao 3kwa2 Nahodha wa harambe stars Victor wanyama allielezea sababu iliyowafanya stars wakose ushindi,"alisema kila stars ilipopata bao walikua wakirudi nyuma kujilinda hivyo kuwapa nafasi na wao kuwashambulia" tatizo hili nilakiufundi zaidi. ndio nawauliza wakuu, kufungwa kwetu watanzania tatizo kocha?
Amunike hana uwezo kabisa, ni zero ameshindwa kufanya substitutions za maana 2nd half. Hata ile first eleven itakuwa kapangiwa tu na TFF baada ya pressure kuwa kubwa.
Uwezo mdogo wa wachezaji wetu, hasa viungo na beki line, kikubwa mpira ni taaluma inabidi tuwekeze sana kwenye elimu ya mpira, hasa njisi ya kumiliki na kukaba. La sivyo Ile kauli ya Rais wetu wa zamani itaendelea kututesa.
Msimlaumu kocha walaumu wachezaji, huyu kocha ni mzuri ni tu vile wachezaji wenu second half hawakuwa makini na walikuwa na uchovu wa akili na mwili (mental & physical fatigue).