Elections 2010 Matokeo Mwakibete

Elections 2010 Matokeo Mwakibete

Chifunanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
290
Reaction score
100
kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema
 
kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema

Wera wera ! Aibu yao aibu yangu? aibu yao. Kama kata yangu CHADEMA atashindwa nimeshapata pa kuamia.
 
Safi sana. Endeleeni kutupa taariza zaidi. Leo hatulali mpaka kieleweke.
 
Niko uchi wa mnyama usinitazame....ni kipigo cha karne!!!!!!!!!


Walitwambia vijana ni wavuta bangh tu sasa tuone!!!!!
 
wadau iringa vipi? mbeya mmefanya kazi nzuri sana ahsante sana wanyambala
 
Usinywe pombe Ng'wanangwa, kura zitachakachuliwa..... mpaka PRESIDA ATANGAZWE NDO UNYWE VODCA!

Wewe ni "We can" kweli au vipi?

Hakuna kuchakachua baada ya matokeo kutangazwa.....................
 
Jamani naombeni mnishauri nitoe kisingizio gani ili kesho nisiende job kwani kadri ninavyopokea matokeo ndo nazidi kumimina mizinga ya konyagi kinywani. Ntaamka mapema kweli.
Raha tupu!!
 
kata ya mwakibete mbeya mjini:

slaa 3,564
kikwete 950

diwani ameshatangazwa......chadema

.
Aah! Mungu, kuna jambo gumu usiloliweza? Angalia sasa Bwana wakifurikisha kikombe cha moyo wangu kwa furaha kuu. HERI NI NINYI MBEYA MAANA MMEWEZESHWA
 
Back
Top Bottom